HODI... Supu ya pweza

HODI... Supu ya pweza

Edylux

Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
48
Reaction score
9
Asalaam aleikhum kwa mpigo.

Naomba mnikaribishe na majina ya mahoteli au mikahawa ipatikanapo supu ya pweza au pweza wa kuchoma hapa dar es salaam, hasa wilaya ya kinondoni.

Ahsanteni sana,
edylux
 
hmm! kama unataka kujua kama unaweza kumpa mkeo ,kanunue then ujaribu kwake uone kama itafanya kazi,usiogope kujaribu,kujaribu ndio kujifunza kwenyewe huko.

naona ndugu yangu mkeo amekushinda hadi unataka kumuekea madawa? mlete kwangu nimpatie limbwata origino.
 
doh! naona uzee unani nyemelea ,hiyo comment hapo juu sikukusudia kuiweka hapa imekuja kima kosa hapa.
 
Back
Top Bottom