Hodi tena wakazi wa Dar es Salaam natafuta mno kifaa hiki

Adolph Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
5,950
Reaction score
9,511
Wasalaam.

Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa.

Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor.

Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana.


Asante
 

Attachments

  • Screenshot_20240813-180001.png
    520.8 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…