Hodi umu ndani mnipokee

Karibu mkuu ila isijekuwa unmeingia kwa ID nyingine
 
MI MGENI PIA HUMU,,, LAKN NIMESAHAU PASSWORD ZANGU MNIKUMBUSHE
 
Huyu mjanja, sio mgeni ila kaja na ID ya KIITALIANO
 
sijakuelewa
Mkuu kuna watu tayari ni member wa JF kwa muda mrefu ila kwa sababu moja au nyingine wazijuazo wao huwa wananamua kufungua account mpya na kujifanya wagen JF, ndio maana nikakwambia issue ya ID nyingine
 
okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…