Hodi wa ungwana

Yakhe sie tupo atiii, Kariibu jamvini ndugu. Humu katu hutojuta kujiunga maana wapo watu wa kariimu hashwa, watu wenye busara zao na Hekma tele. Najua hata wewe sifa hizo unazo. Karibu sama mpendwa tunahitaji busara na mchango wako katika kupiga hatua mbele.

Humu ndani yapo mengi sana. Kwa ufupi usiache kuperuziperuzi iliupate yakukufaa. Ukihitaji msaada Please usisite kuwaomba wana JF utapata bila shida.

Angalizo:
Tunasheria na taratibu mabalimbali hivyo ni vizuri kuziheshimu na kuzitii kila wakati.
Otherwise you are welcom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…