M mariabeno Member Joined Aug 26, 2010 Posts 19 Reaction score 0 Aug 27, 2010 #1 Natumai nyote ni wazima wa afya. Haya, naomba nijiunge nanyi wana JF kwani kwa kweli mko bomba na mnatisha kwa kila hali. Nimependezewa na uga wenu.
Natumai nyote ni wazima wa afya. Haya, naomba nijiunge nanyi wana JF kwani kwa kweli mko bomba na mnatisha kwa kila hali. Nimependezewa na uga wenu.
Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,972 Aug 27, 2010 #2 mariabeno said: Natumai nyote ni wazima wa afya. Haya, naomba nijiunge nanyi wana JF kwani kwa kweli mko bomba na mnatisha kwa kila hali. Nimependezewa na uga wenu. Click to expand... Naomba niwe wa kwanza kukukaribisha. UR welcome!
mariabeno said: Natumai nyote ni wazima wa afya. Haya, naomba nijiunge nanyi wana JF kwani kwa kweli mko bomba na mnatisha kwa kila hali. Nimependezewa na uga wenu. Click to expand... Naomba niwe wa kwanza kukukaribisha. UR welcome!
N-handsome JF-Expert Member Joined Jan 23, 2008 Posts 2,453 Reaction score 560 Aug 27, 2010 #3 Karibu mdau Mariabeno
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Aug 28, 2010 #4 Karibu sana.