Mwanaukweli JF-Expert Member Joined May 18, 2007 Posts 4,786 Reaction score 1,715 Nov 13, 2012 #1 Nimekuwa naibia busara zenu kwa muda mrefu nikiwa nje ya jamvi. Nimejikuta navutika kuingia ndani ili nami pia nijifunze zaidi toka kwenu kwa mada zenu, kwa kujenga hoja, na kujadili mambo mbalimbali.
Nimekuwa naibia busara zenu kwa muda mrefu nikiwa nje ya jamvi. Nimejikuta navutika kuingia ndani ili nami pia nijifunze zaidi toka kwenu kwa mada zenu, kwa kujenga hoja, na kujadili mambo mbalimbali.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 13, 2012 #2 Karibu sana mjomba...........
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Nov 13, 2012 #3 karibu jamvini mkuu
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Nov 15, 2012 #4 Karibu JF.
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,211 Reaction score 1,059 Nov 15, 2012 #5 Mchami,wakaribishwa.