Hodi wana board

The Mig

Senior Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
131
Reaction score
217
Nimekuwa msomaji wa hii forum kwa zaidi ya miaka minne bila kuwa mwanachama.

Leo najiunga rasmi ili nishiriki ktk kutoa na kupokea mawazo na fikra pevu.

Nawaombeni mnipokee wadau.

[emoji120]
 
Karibu ingia hadi chumbani kabisa,,,ujisikie nyumbani...
 
Karibu sana nogesha kwa Picha na namba yako ya simu pls
 
Karibu ingia hadi chumbani kabisa,,,ujisikie nyumbani...
Kweli aise. Kwa ukarimu wako na wadau wote. Ni kama nipo chumbani kwangu kabisa.

Big up jf and its managing team
 
Kuna wana board mashughuli nikaribisheni nisikie sauti zenu.
(jingalao, erythromycyline, the bold, mjomba lizaboni, mcubic, technician/technically n.k)

Majina niliyomeza yamenipotea km fake ya maths
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…