tupendane1
Member
- Jan 27, 2013
- 11
- 8
Nimekuwa nafuatilia kwa umakini zaidi ya miaka miwili mtandao huu wa Great thinkers,hakika nimeukubali na nimeamua rasmi kujiunga ili nami niweze kuwa nachangia mada mbalimbali.Hakika huu ni mtandao wa waliojaa hekima na welevu wa hali ya juu.
Naomba mnikaribishe kwa mikono miwili.
Mungu Ibariki Tanzania,wabariki Watanzania wote na wawe na ufahamu wa kutambua haki zao na kuzidai.
Asanteni
Naomba mnikaribishe kwa mikono miwili.
Mungu Ibariki Tanzania,wabariki Watanzania wote na wawe na ufahamu wa kutambua haki zao na kuzidai.
Asanteni