Hodi wana jamii forums

Hodi wana jamii forums

Joined
Jun 6, 2012
Posts
44
Reaction score
33
Habarini. Leo nimeamua kujiunga na hii familia nimeonelea vyema nipige hodi niingiapo jamvini,
 
Karibu mjukuu wangu,huku ni mada zenye akili vinginevyo soma acha.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Karibu saaana sana saaana,ila kuna m2 anajiita "the horse"jisikie huru mkuu
 
Ninashukuru sana kupokelewa na naamini tutashirikiana kwa faida ya taifa letu. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom