Hodi wana Jamii...

Hodi wana Jamii...

TOMEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
588
Reaction score
118
baada ya kufatilia kwa kina jukwaa hili na kuona faida zake ikiwa ni pamoja na kupata habari mbalimbali nimeona na mimi niwe mmoja wenu katika kutoa michango mbalimbali naomba mnikaribishe
 
Karibu ila hatutaki nidhamu kitu cha msingi sio uje uongeze idadi ya watukanaji...
 
Karibu sana ila sheria ni kama Tai-iwe mbele kwa kila jukwaa,usilete lugha za kwenye Facebook
"Vox popoli vox dei"
 
Back
Top Bottom