Hodi wana JamiiForums

davie dee

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
934
Reaction score
1,213
Nahitaji ushirikiano wenu kama mnavotoa kwa wengine nafurah kua mwana familia wa jamii forum kwan kila kitu nacho taka kukifahamu naimani ntakipata hapa kwa GREAT THINKES

Nb:ni mzaliwa wa kahama,shinyanga ila sa hivi nipo temeke dar es salaam...
Nmekuja na kutoa msaada dhid ya wanaume wa dar waoga wa panya rod
Asanteni
 
Karibu sana, humu jf uliza vyote ispokuwa majina halisi na kazi za watu. Kuhusu marital status, humu wote waneolewa kama huna chapaaa. I'm kidding.
 
Karibu sana, humu jf uliza vyote ispokuwa majina halisi na kazi za watu. Kuhusu marital status, humu wote wameolewa kama huna chapaaa. I'm kidding.
 
Karibu sana, humu jf uliza vyote ispokuwa majina halisi na kazi za watu. Kuhusu marital status, humu wote wameolewa kama huna chapaaa. I'm kidding.
Asanteee nami nmeoa mbna
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…