Hodi wana Jamiiforums

SNAREMAN

New Member
Joined
May 14, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Hatimaye nimefanikiwa kujiunga na JF baada ya kujaribu mara nyingi na kufail,nina iman wanajf mtanipokea kwa furaha member mwenzenu kwan JF ni kisima cha maarifa na busara,ahsante na Jioni njema.
 
Karibu, hatutaki majungu kama ya mkuu L.S na dada yake nif...kila wakati Kiba tu.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu ufaido kwa GT...
 
Aseeh..mwezi huu mmekuwa wengi.. ni ban zimeongezeka au kweli ni members wapyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…