Hodi wana jamvi naombeni mnipokee rasmi ili tujumuike pamoja kwenye hoja

Hodi wana jamvi naombeni mnipokee rasmi ili tujumuike pamoja kwenye hoja

mehhi

Senior Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
108
Reaction score
9
Hodi wana jamvi naombeni mnipokee rasmi ili tujumuike pamoja kwenye mchanganuo wa hoja
 
Salimia kwanza wakubwa wako harafu ndo uanze kujishaua.
 
Mbona wakali mwenyewe mgeni afu waanza kuni
tisha, nimeomba kujumuika nanyi mwanajf
 
Heshima zenu wakubwa zangu, rika langu mamboz, wadogo hamjambo!
 
Huna lolote wewe unaonekana nizoefu hapa, haka ni la Id kengine!

Anyway karibu mkuu mehhi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom