Usijali ,, jinsia yako lkn. Ni mla kwa jasho ??? Au mzaa kwa uchungu??.Thank you very much
Aaahhhh basi sawa ,,Mimi nakula kwa jasho ,, naningependa siku moja unizalie wanne tuuu ..nione kama huo uchungu unazoeleka au lah..Hahahahah...nimependa uainishaji wako wa jinsia.
Mimi ni KE (mzaa kwa uchungu, According to you)
Mbn unaguna ivo sasa ....Eeehhhh mbn ni idadi nzuriHongera kwa kula kwa jasho! Hilo la kukuzalia watoto wanne duh [emoji40] [emoji40]