Looohhh upweke huo ndan ya nyumba haupendezi ,,nyumba nikele ,fujo ,navicheko vya watoto .Wawili itapendeza
Oukay , but naona km kuna haja ya kukaweka kapicha kako hapa ,ili nikatunze ,siku zauzeee Wetu niwaonyeshe watoto namna gan mama yao alikua akifanana enzi za ujana wake.Haya bwana
Ni pm nikwelekezeKweli aisee,naomba unielekeze jinsi ya kuweka avatar
Weka namba yako hapa nikwelekeze wstpHata ku pm kwenyewe sijui mkuu,naomba unielekeze
Ni pm sasa kama hutaki kuweka namba hapaMmmh! Namba yangu tena?
OK sawaKweli aisee,naomba unielekeze jinsi ya kuweka avatar
Pale kwenye messageKu pm nafanyaje sasa?
JitahidiAah kumbe,ngoja nijaribu