Hodi wana JF

Hodi wana JF

mtingi1

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2020
Posts
957
Reaction score
935
Awali ya yote nashukuru kukubaliwa kuunganishwa hapa, nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali za wanaJF kwa muda mrefu.
Nimeelimika na mengi, pia nimekuwa nikiburudika na mengi kupitia JF.
Nimeona vema kujiunga rasmi ili nami niweze kupata fursa ya kuchangia mawazo yangu katika mada mbalimbali whenever I can.
Naomba ushirikiano wakuu. Asanteni.
Mtingi1.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom