Hodi Wana JF..

Hodi Wana JF..

Fred Mushi

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
49
Reaction score
9
Nimetua rasmi hapa jukwaani...

Je, Fred Mushi ni nani?

Mimi ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro...

Kwa nafasi yangu hii..

Ni mjumbe wa Baraza Kuu-UVCCM Taifa..

Ni mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa..

Pia, ni mjumbe wa mkuu wa CCM Taifa..

Kidumu Chama Cha Mapinduzi..

Kauli yetu UVCCM-Ni kujenga na kulinda ujamaa..
 
Nimetua rasmi hapa Jukwaani..

Mkuu, wewe ni mwanasiasa tena ni mwanachama wa chama kubwa, ujio wako hapa jamvini unapaswa uambatane na mtetemo mzito utakao dhihirisha uimara na umadhubuti wa UVCCM hapo Kilimanjaro.

Naomba uiboreshe hii "thread" yako na uiwekee vikorombwezo kama vile "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI", maana kuna wadau wengi humu na naamini watafurahi na huu ujio kama utapokea mapendekezo haya.

On top of all, karibu jamvini.
 
Hapa lazima uwe na roho ngumu kidogo. Usiwe mwepesi wa hasira. Hata mtu akikuambia, "Nina kuSerukamba" usikasirike. Karibu utayaona!!!
 
Ule uzi ushafungwa,however hapo chini ebu upitie kidogo tuanze kazi moja kwa moja...Once again karibu sana!
Ben Saanane said:
Naomba WanaJF msiingie kwenye mtego huu. Nalionya kundi hili, na yeyote yule anayehusika. Sitavumilia mchezo huu unaoratibiwa na wanachama wa kundi hili wakiongozwa na hawa wafuatao kulingana na mawasiliano niliyonasa na pia kwa jinsi wanavoonekana kwenye member List ya group husika

1: Eddah Kishimba-Mtumishi wa Serikali
2: Martin Shigella(Katibu mkuu-UVCCM)
3: Fredy Mushi(Mwenyekiti UVCCM-Moshi)
4: Junior Matukuta(UVCCM-Mbeya)
5: Assenga Abubakar(UVCCM-Morogoro)
6: Ali Salum Hapi(kwa interest zake)
7: Ismail Shah(mjumbe wa NEC-CCM)
8: Mrisho Gambo(mkuu wa wilaya korogwe)
9: Juliana Shonza
10: Mtela Mwampamba na wengineo kama wanavyoonekana katika GROUP hilo Facebook, Twitter, bloggs na kwingineko.



https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kubali-kuingia-mtegoni-nawaonya-wahusika.html

cc Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Nimetua rasmi hapa jukwaani...

Je, Fred Mushi ni nani?

Mimi ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro...

Kwa nafasi yangu hii..

Ni mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa..

Pia, ni mjumbe wa mkuu wa CCM Taifa..

Kidumu Chama Cha Mapinduzi..

Kauli yetu UVCCM-Ni kujenga na kulinda ujamaa..

Karibu sana,
nimekuwa na wasiwasi na ujio wako maana naona kama huna msimamo vile, JMushi kakuingiza mkenge kidogo tu umeenda, wewe unaonekana kuwa bendera fuata upepo. Mbona hata ulivyokuwa umebisha hodi awali ilikuwa poa tu, JMushi kaku-drive ukaenda au ndo nyie mkiambiwa na NEPI hamtumii akili zenu nyie ni kuingia tu.

By the way KARIBU sana ila uwe mvumilivu humu Jamvini.
 
Back
Top Bottom