Hodi Wana JF..

Fred Mushi

Member
Joined
May 4, 2013
Posts
49
Reaction score
9
Nimetua rasmi hapa jukwaani...

Je, Fred Mushi ni nani?

Mimi ni Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kilimanjaro...

Kwa nafasi yangu hii..

Ni mjumbe wa Baraza Kuu-UVCCM Taifa..

Ni mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa..

Pia, ni mjumbe wa mkuu wa CCM Taifa..

Kidumu Chama Cha Mapinduzi..

Kauli yetu UVCCM-Ni kujenga na kulinda ujamaa..
 
Nimetua rasmi hapa Jukwaani..

Mkuu, wewe ni mwanasiasa tena ni mwanachama wa chama kubwa, ujio wako hapa jamvini unapaswa uambatane na mtetemo mzito utakao dhihirisha uimara na umadhubuti wa UVCCM hapo Kilimanjaro.

Naomba uiboreshe hii "thread" yako na uiwekee vikorombwezo kama vile "KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI", maana kuna wadau wengi humu na naamini watafurahi na huu ujio kama utapokea mapendekezo haya.

On top of all, karibu jamvini.
 
Hapa lazima uwe na roho ngumu kidogo. Usiwe mwepesi wa hasira. Hata mtu akikuambia, "Nina kuSerukamba" usikasirike. Karibu utayaona!!!
 
Ule uzi ushafungwa,however hapo chini ebu upitie kidogo tuanze kazi moja kwa moja...Once again karibu sana!


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kubali-kuingia-mtegoni-nawaonya-wahusika.html

cc Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
Kauli yetu UVCCM-Ni kujenga na kulinda ujamaa..
Really?Is this stuff practical ama maneno na porojo tu?

Ni ujamaa mpya mnaujenga ama ni ujamaa uleule wa mwalimu mnaulinda?
 

Karibu sana,
nimekuwa na wasiwasi na ujio wako maana naona kama huna msimamo vile, JMushi kakuingiza mkenge kidogo tu umeenda, wewe unaonekana kuwa bendera fuata upepo. Mbona hata ulivyokuwa umebisha hodi awali ilikuwa poa tu, JMushi kaku-drive ukaenda au ndo nyie mkiambiwa na NEPI hamtumii akili zenu nyie ni kuingia tu.

By the way KARIBU sana ila uwe mvumilivu humu Jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…