BABAAKUBWA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 120
- 27
Ndugu wana jf,
ninaomba kujiunga nanyi kwa mara ya kwanza kama mwanachama wa jf ili kwa pamoja tujadili,tujifunze,tuelimike na tufurahi.
Naomba mnipokee bila kinyongo, na mnipe kampani bila hiana. Ushauri wenu ni lulu kwangu.
Shukrani.