Mgeni mpya bw Ludovic. Nimekuwa nikifuatilia JF tangu mwk 2008 ila sikupata kujiunga awali nilikuwa mushamba mwenzenu kutumia haya ma PC na wahindi nao wanatubana na kazi zao ka mushahara kadogo, hakuna namna ya kuongeza ka ujuzi plus na haya majizi ya nchi hii yanatunyonya. Hivyo muda mwngi ni kutafuta njia kuongeza kipato. Jamani tupendane!