Mimi ni Emma,
Mwanamke mpenda haki, mtoa haki, muwazi na mkweli.
Naomba ruhusa nianze kujumuika na wana jamii.
Naahidi kufuata sheria za forum hii murua,
Nitakuwa mimi kwa mitazamo yangu,
Sitamuogopa mtu kwa jina, umri, uwezo, au jinsia,
Nitamheshimu kila mtu hata kama hatajiheshimu binafsi,
Sitampaka mwanajamii yeyote mafuta kwa mgongo wa chupa,
Sitapenda mwanajamii yeyote kunipendelea,
Nitakuwa tayari kubadili mtazamo wangu nikigundua mtazamo bora zaidi,
Sitalazimika kupongeza nisichokikubali.
Nabisha hodi,
NAOMBA KUFUNGULIWA MLANGO JAMIIFORUMS.
Karibu sana. Uwe huru kabisa. Karibu
Karibu sana Emma na nafikiri unachokikusudia ndio ambacho tunakitarajia kwa upamoja wake kwa maslahi ya Taifa.