Hodi hodi wanajamii! Mimi naonelea ni jambo jema kujiunga nanyi katika jamii hii, naitwa Lucas juma kwa majina, ni Juma Mkristo sio muislamu. Kwetu ni Ruiru katika Kenya. Jukwa hili ningependa lininufaishe kilugha ya Kiswahili na mambo mengine ambayo kwa kidogo naonelea nivema kushughulikia kwa kufanyia upembuzi yakinifu.Ninayo mengi ya kusema lakini nikiwapa muda kupumua itakuwa vizuri sababu mwendo mzuri ni hatua moja halafu nyingine.Wasalam!