hodi wanajamii

hodi wanajamii

cliford

New Member
Joined
Jun 14, 2013
Posts
2
Reaction score
0
ndugu waungwana mimi ni mgeni katika jf pia naombeni muongozo wenu
kwani nimevutiwa sana na jamii forum
naamini kwa kutumia jamii forum nitajifunza mambo mengi sana
naomba mnipokee
 
ndugu waungwana mimi ni mgeni katika jf pia naombeni muongozo wenu
kwani nimevutiwa sana na jamii forum
naamini kwa kutumia jamii forum nitajifunza mambo mengi sana
naomba mnipokee
Karibu sana jamvini, tunategemea pia kupata ushirikiano kutoka kwako pia. Soma sheria na kanuni zetu kuna muongozo huko wa namna ya kuishi humu.
 
Karibu JF. Fuata ushauri wa Mkuu Katavi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom