EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Wapi tune kula ubwa2?Habari za mchana wapendwa??
Mie mgeni humu naomba mnipokee
Hujapotea manka, by the way shimbon maye?Yesuuuu wangu ndo humu kuko hivi?
Nlijua nikwa wastaarabu na watu wa akili kubwa,,kwakwel naona nimepotea njia kiruuuu
HahahahaaaKaribu sana JF Wahidah! Vipi unaweza kuniunganisha na huyo rafiki yako aliyesimama hapo na aliyevaa hilo gauni refu? Nahisi hiyo figure yake imenivuruga kabisa ubongo![emoji851]