Hodi Wanajamiiforums

Hodi Wanajamiiforums

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
1,340
Reaction score
1,377
Nawasalimu wana Jamii Forums wote!
Najisikia kuwa na msisimko wa kiaina kuja humu rasmi baada ya kuwa 'guest member' kwa muda sasa. Nataraji kuwa nanyi katika mijadala mbalimbali ya hapa ndani pamoja na kupata msaada wenu katika utatuzi wa matatizo ya maisha.
Asanteni sana
Miss Naisujaki.
 
Da Miss Naisujaki umenikumbusha mwalimu wetu wa ilboru chief aka Lusijaki(rip)!!
 
Back
Top Bottom