Hatimaye nimefanikiwa kujiunga na mtandao wa jamiiforum please
naomba mnipokeee
Karibu sana JF mkuu....
we ni msichana au dume...reply
Umesoma sheria za jf lakini?Nashukulu sana
na wewe nawe kama mganga wa kienyeji.we ni msichana au dume...reply
Umesoma sheria za jf lakini?
mkuu mimi ni mgeni humu nitafutilia yote hayo