Hodi wanajf

Hodi wanajf

Jay27

Senior Member
Joined
Mar 14, 2018
Posts
153
Reaction score
174
Ni muda mrefu nimekuwa mfuatiliaji wa hoja mbalimbali humu JF so nimeamua niwe mmoja wa member ili nipate wasaa wa kujadiliana mambo mbali mbali ya kimaisha.....Asanteni sana na tupo pamoja wakuu.
 
Karibu sana aiseee
Kuanzia leo nakuzawadia cheo cha ukuu, utanza kuitwa mkuu Jay27.

Wakikuita mkuu usishangae we kumbuka ni cheo ulichopewa na mimi Bilionea Asigwa.
 
Kila mgeni anasema" nimekua msomaji muda mref
 
Back
Top Bottom