Hodi wanajf....

Mkuu mbona nimemwambia karibu? Tatizo hicho kikatuni alichoweka cjamwelewa ndo nikamwuliza swali, au nimekosea kuuliza?
Hivi ndivyo ulivyofundwa namna ya kukaribisha wageni ?
 
Ciello: Ni kweli umemkaribisha kwa neno 'karibu', lakini maneno yaliyofuata wala hayamuweki mgeni katika mazingira mazuri ya kupokelewa na wenyeji hata kama kikatuni "hukukipenda".
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…