Hodi WanaJF

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,957
Reaction score
827
Mimi ni mzee wa manyafu ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Here is where we dare to talk openly. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya mjengo ili nipate nafasi ya kuchangia.​
 
Karibu sana mkuu!.........Hiyo avatar ndio wewe nini!!!
 
yap hapo niko nakamua misosi
 
Mimi ni mzee wa manyafu ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Here is where we dare to talk openly. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya mjengo ili nipate nafasi ya kuchangia.​
Karibu mkubwa naona umeingia moja kwa moja na Avatar, ni wewe nini?
 
Karibu sana mkuu, ila picha yako yaonyesha kama mlafi hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…