hodi wanaJF

Binti Kimanzi

Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
10
Reaction score
1
Habari zenu..... am a new member naombeni mnikaribishe ili nijisikie sijapotea kuchagua kuwa hapa home of the great thinkers.
 
karibu bint kimanzi.. jembe lipo kwenye kona hapo.. twende shambani tukalime...:becky:
 
Karibu binti kimanzi,

Kwa ajili ya rekodi zangu binafsi, samahani kama nitakukwaza, wewe ni He/She au Mod?
 
Wanajiunga mara mbili mbili ili waipigie CCM kwenye poll ya JF!!!!! Lakini ni mgeni huyu though I doubt if she is a great thinker!!!!
 
Mgeni siku ya kwanza, mpe mchele na panza!..............Karibu mgeni!..tunakuangalia kwa ukaribu sana ili usijikwae kwenye makorido!
 
Habari zenu..... am a new member naombeni mnikaribishe ili nijisikie sijapotea kuchagua kuwa hapa home of the great thinkers.

Teh, Teh, Teh, karibu dada yetu. Jisikie uko nyumbani na furahia maisha hapa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…