sauti ya wanyonge
New Member
- Oct 2, 2013
- 2
- 0
hodi wanazengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana jamvini.hodi wanazengo
Na wewe kumbe huwa unapita huku.....!Karibu sana.
Na wewe kumbe huwa unapita huku.....!
Huwa nakukuta kila mara,
nikajua ndo zako kuja kuwahi wageni
humu.
Mimi ndio nimekabidhiwa hili jukwaa na uongozi wa JF ili wageni wasipotee.
Nitamwambia Cantalisia aje kukufumania laivu hapa
Ha ha ha haaah!! Kama ananitafuta mwambie nipo hapa chumba cha wageni, namsaidia babu Asprin kukagua wageni wa kike.