NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 595 Aug 12, 2010 #1 Nimekuwa nikiingia kwenye hii forum kama mgeni,sasa naomba kushiriki nanyi ktk uwanja huu kama mmoja wa wanachama. Naomba ridhaa yenu.
Nimekuwa nikiingia kwenye hii forum kama mgeni,sasa naomba kushiriki nanyi ktk uwanja huu kama mmoja wa wanachama. Naomba ridhaa yenu.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Aug 12, 2010 #2 NG'OTIMBEBEDZU said: Nimekuwa nikiingia kwenye hii forum kama mgeni,sasa naomba kushiriki nanyi ktk uwanja huu kama mmoja wa wanachama. Naomba ridhaa yenu. Click to expand... Karibu Ng'o.........aaaah jina gumu hata kuandika, lakini umepotea jukwaa!
NG'OTIMBEBEDZU said: Nimekuwa nikiingia kwenye hii forum kama mgeni,sasa naomba kushiriki nanyi ktk uwanja huu kama mmoja wa wanachama. Naomba ridhaa yenu. Click to expand... Karibu Ng'o.........aaaah jina gumu hata kuandika, lakini umepotea jukwaa!
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 595 Aug 18, 2010 Thread starter #3 Katavi said: Karibu Ng'o.........aaaah jina gumu hata kuandika, lakini umepotea jukwaa! Click to expand... Kibantu Zaidi. Si unajua tena majina yetu ya kijijini !!
Katavi said: Karibu Ng'o.........aaaah jina gumu hata kuandika, lakini umepotea jukwaa! Click to expand... Kibantu Zaidi. Si unajua tena majina yetu ya kijijini !!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Aug 18, 2010 #4 wewe lazima ni wa kule kwetu Maseru....karibu sana japo si jukwaa husika hili
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 595 Aug 18, 2010 Thread starter #5 Preta said: wewe lazima ni wa kule kwetu Maseru....karibu sana japo si jukwaa husika hili Click to expand... Maseru kule karibu na King Mswati? Kwenye kale Ka Nchi kako ndani ya nchi nyingine? Hapana, mie wa hapahapa.
Preta said: wewe lazima ni wa kule kwetu Maseru....karibu sana japo si jukwaa husika hili Click to expand... Maseru kule karibu na King Mswati? Kwenye kale Ka Nchi kako ndani ya nchi nyingine? Hapana, mie wa hapahapa.