karibu mgeni ila wewe ni me/kehabari zenu mabibi na mabwana! me mgeni sapoti yenu muhimu sana. Mbarikiwe nawapenda sana
Chura ipo?[emoji1]me ni ke mkuu
karibu darlingahsante sana! mimi ni ke
Ahhhhhh!!!......nilikuwa nimeshakimbilia pm kwako ila sasa hivi inabidi nitoke nduki![emoji1]ha ha ha ha! flat screen imehusika sana
Naona mnachangamki fulsa.Chura ipo?[emoji1]
karibu darling