Hodi waungwana naomba kujiunga (JF)

Hodi waungwana naomba kujiunga (JF)

Joined
Aug 13, 2016
Posts
55
Reaction score
25
Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki

Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......

Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....

Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....
 
Karibu Mkuu, Michango Ya Kila Wiki Ni Dola 50 Inatumwa Kwangu, Asante[emoji1]
 
Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki

Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......

Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....

Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....
Ujiunge mara ngapi
 
Karibu jukwaani. Ila epuka kusapoti wanafiki kama akina Mwanahabari Huru maana waliuza chama sasa wanakazi ya kumpiga deki mamvi, ingawa hiyo kazi mpaka sasa imeshawashinda
 
Ok!! Karibu sana eroo ila baba umefanya kosa sana kutanguliza post bila picha yako asee
 
Back
Top Bottom