Mjukuu Wa Kambo
Member
- Aug 13, 2016
- 55
- 25
Karibu Mkuu, Michango Ya Kila Wiki Ni Dola 50 Inatumwa Kwangu, Asante[emoji1]Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......
Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....
Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....
Ujiunge mara ngapiKwenu Ndugu Jamaa na Marafiki
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......
Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....
Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....
Moja tuu..Ujiunge mara ngapi
Hahahaha ujumbe umefika...Lkn lisit muhimuKaribu Mkuu, Michango Ya Kila Wiki Ni Dola 50 Inatumwa Kwangu, Asante[emoji1]
Karibu jukwaani. Ila epuka kusapoti wanafiki kama akina Mwanahabari Huru maana waliuza chama sasa wanakazi ya kumpiga deki mamvi, ingawa hiyo kazi mpaka sasa imeshawashindaKwenu Ndugu Jamaa na Marafiki
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......
Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi Nusu Ras Sitini Majununi....
Mimi wa kwenu Mjukuu Wa Kambo....
Naona unaweweseka maana pande zote pamekua moto hapashikikiKaribu jukwaani. Ila epuka kusapoti wanafiki kama akina Mwanahabari Huru maana waliuza chama sasa wanakazi ya kumpiga deki mamvi, ingawa hiyo kazi mpaka sasa imeshawashinda
Dogo hujalala tu? Naona umefufuka ewe tarumbeta la Dj na MamviNaona unaweweseka maana pande zote pamekua moto hapashikiki
Lenye kuwatesa ccmDogo hujalala tu? Naona umefufuka ewe tarumbeta la Dj na Mamvi
Mkuu punguza jazba..Naona unaweweseka maana pande zote pamekua moto hapashikiki
Ahsante sana Mkuuu..Karibu sana yero subai[emoji6]
Ahsante Honey Faith....Karibu sana
Mkuu hata hapa kuna sheria za mizinguo doti komu?Karibu xana ila ukizingua utakuwa xa uxo tehetehe Kuna forum yenu inaitwa makapuku
Kule makapuku hakunaga Ban Kuna sakos yao kunawachumba tehetehe admin anaitwa Bitoz burdaniiiMkuu hata kuna sheria za mizinguo doti komu?