Hodi waungwana

waungwanaTz

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
11
Reaction score
9
Waungwana!
Hapa ni mahala ambapo waungwana hukutana kwa lengo la kujadiliana,kuelimishana,
kuonyana,kukosoana,
kupongezana,kupeana ushauri na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali kwa njia ya kiungwana.
Ili kutimiza lengo,waungwana watatumia “SIMULIZI ZA WAUNGWANA” kama rejea na mwongozo wa mambo yote ya kiungwana watakayofanya.
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…