Hodi Waungwana

Karibu jamvini men.
Hapa ndo kila kitu. Vipi umeshaolewa/umeshaoa?
Kama bado una miaka mingapi? Je degree unayo, gari je?
Karibu tena.
 
Karibu, mimi ndio kungwi wa jukwaa hili a.k.a ndimu mkata shombo. Jina hili lisikuogopeshe lakini

Angalizo, cheo hiki nimejipa mwenyewe baada ya kuona nafasi iko wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…