Hodi Waungwana

Karibu sana japo kwangu naona ni ajabu kuwapenda watu usiowajua sura wala historia zao.
 
Reactions: mij
oh karibu sana mie ndio mzabzab kama wewe ni she basi usiogope kuniita unapo hitaji mgegedo
 
mi nafikiri tungempa misamiati inayoutumika huku kwa faida yake na wengineo wasiojua
 
karibu babby na ujisikie upo chumbani..

Ila nakupa warning: beware na member anayejiita Erickb52:mvutaji::mvutaji::mvutaji:
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana baaby, mi ndo queen kan mume wangu anaitwa king kan ila one thng kua makini na mzabzab
 
karibu sana babby,
mtafute mzabzab akupe terms na conditions za humu, lol!
 
Last edited by a moderator:
Hodi ya wapi? Muone! We si mwenyeji tu hapa? au umekuja kufumania nini?
Unabadirisha utambulisho kumtega nani baby?
Sitegeki, nakufahamu, nakujua nawe pia wanifaham na wanijua. We tulia tu tuendeleze mambo yetu;
Wako akupendaye kwa dhati
Tutor B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…