Hodi wazee wa kazi!

Hodi wazee wa kazi!

Sisera

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
224
Reaction score
98
Jamani nilikuwa nafuatilia JF kupitia kwa jirani, sasa naona wakati mwafaka wa mimi kuomba kushiriki kupasua vichwa pamoja na kuendelea kujifunza pamoja!
 
Karibu JF

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Karibu sana mjengoni, kuwa tiyari kuelimishwa, kukosolewa! Yale mabaya yaache hapahapa
 
Jamani nilikuwa nafuatilia JF kupitia kwa jirani, sasa naona wakati mwafaka wa mimi kuomba kushiriki kupasua vichwa pamoja na kuendelea kujifunza pamoja!
Karibu mpaka sebuleni
 
Back
Top Bottom