Hodi wenye nyumba

Hodi wenye nyumba

junkensh

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
12
Reaction score
1
hodi wenyewe!, nimekuwa nikijigonga humu coridoni kutafuta chumba hiki,hodi tena!!
 
loh! kimya humu!!, au hakuna wenyeji? maana hata pa kukaa pia cpaoni! wenyewe mpo!?
 
loh!,ahsante sana watu8,nashukuru kwa ukaribsho wako!
 
Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!.
 
Waw!, najua nimekosa staftahi kama ambavyo nimechelewa cha mchana,mnihesabu kwenye chajio bac maana njaa yanin'gwenya,hatari!
 
wenyeji natoka,naenda kununua cgara hapo mtaa wa tatu,nitarudi,mcnisahau chajio eh!,
 
huko kwenye vyumba vingine ni hatari,nimerudi,nilienda mtaa wa 3,umenikumbuka kwa chajio?
 
Back
Top Bottom