J junkensh Member Joined May 19, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 7, 2013 #1 hodi wenyewe!, nimekuwa nikijigonga humu coridoni kutafuta chumba hiki,hodi tena!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 7, 2013 #2 Karibu sana JF...
J junkensh Member Joined May 19, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 7, 2013 Thread starter #3 loh! kimya humu!!, au hakuna wenyeji? maana hata pa kukaa pia cpaoni! wenyewe mpo!?
J junkensh Member Joined May 19, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 7, 2013 Thread starter #4 loh!,ahsante sana watu8,nashukuru kwa ukaribsho wako!
J junkensh Member Joined May 19, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 7, 2013 Thread starter #5 Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!.
Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!.
J junkensh Member Joined May 19, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 7, 2013 Thread starter #6 Waw!, najua nimekosa staftahi kama ambavyo nimechelewa cha mchana,mnihesabu kwenye chajio bac maana njaa yanin'gwenya,hatari!
Waw!, najua nimekosa staftahi kama ambavyo nimechelewa cha mchana,mnihesabu kwenye chajio bac maana njaa yanin'gwenya,hatari!
J junkensh Member Joined May 19, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 7, 2013 Thread starter #7 wenyeji natoka,naenda kununua cgara hapo mtaa wa tatu,nitarudi,mcnisahau chajio eh!,
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 7, 2013 #8 junkensh said: Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!. Click to expand... Kwingine wapi huko?
junkensh said: Lah!, humu kimya lkn nimepapenda maana kuna hewa na mwanga wa kutosha,hakuna joto wala kubanana km kule kwingine!!. Click to expand... Kwingine wapi huko?
J junkensh Member Joined May 19, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jun 7, 2013 Thread starter #9 huko kwenye vyumba vingine ni hatari,nimerudi,nilienda mtaa wa 3,umenikumbuka kwa chajio?
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 896 Jun 8, 2013 #10 Karibu sana.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 8, 2013 #11 Karibu sana JF.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Jun 10, 2013 #12 Karibu JF.
Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,991 Jun 10, 2013 #13 Karibu sana!