Hodi wenye nyumba

Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
3,517
Reaction score
1,869
Ndo kwanza najiunga, na ni mgeni naomba mnipokee.
 
Nawashukuruni nyote kwa ukaribisho. Nadhani tutakua pamoja tukikumbushana, kuelimishana na kupeana mikakati ya maisha ili tusonge mbele kutoka tulipo na kuelekea kwenye maisha bora zaidi.
 
Nawashukuruni nyote kwa ukaribisho. Nadhani tutakua pamoja tukikumbushana, kuelimishana na kupeana mikakati ya maisha ili tusonge mbele kutoka tulipo na kuelekea kwenye maisha bora zaidi.

Karibu murha maisha ora kwa kila mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…