capitalcity
Member
- Sep 9, 2017
- 40
- 35
Bunju DsmKaribu. Salamu za pande zipi?
Kumbe na wewe ni mwanaume wa DarBunju Dsm
Me,Karibu, wewe ni KE au ME?
JE,unaunga mkono au hauungi?
Wewe na CHADEMA au ccm wauaji?
Jibu haraka.
Taifa limegawanyika kabisa.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
"I shared the same knife with your father during curcumsicion" Betrayal in the city.
Inaweza kuwa sawa maana nikejibu kutokana na current location niliyopo kwa kipindi hikiKumbe na wewe ni mwanaume wa Dar
Haya bwana chips njemaInaweza kuwa sawa maana nikejibu kutokana na current location niliyopo kwa kipindi hiki
Asante mkuuBunju Dsm
Pamoja MkuuAsante mkuu
hahaa shukran mkuuHaya bwana chips njema
Bila shakaKwa uandishi huo ww ni Me au sio?
Wewe kunamahali popote umeweka picha..?Weka picha!!!
Shukran sana nduguKaribu sana JF.......