Hodi Wenyeji

Kamili Gado

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
386
Reaction score
97
Wakuu nimekua nikisoma sana posts za humu JF kwa muda mrefu sana na nikagundua kwamba huu ni mtandao makini wenye kuelimisha , kuhabarisha n.k.

Sasa leo nimeamua rasmi nijiunge.
 
Karibu sana, ingia utawakuta wenyewe watakujulisha kona zote za jumba hili. Ukitaka tuonane uwe unakuja basi kwenye kijiwe cha mabisiness na wajasiliamali tubadilishane mawazo. Sasa mbona uko mikono mitupu au ndo umeshamaliza zawadi zote? Si unajua mgeni njoo mwenyeji apone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…