Hodi wenyeji!

Hodi wenyeji!

sirgeorge

Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
89
Reaction score
18
Mara nyingi nimekuwa nikishiriki katika JF kama guest. Leo nimeingia rasmi. Tushirikiane
 
Hodi hodi wenyeji,

Mimi mgeni-mwenyeji kwa namna namna. Nimechelewa kujitambulisha mara baada ya kujiunga kwa sababu ya kukosa mtandao wa uhakika. Sasa tutakuwa pamoja. Ahsanteni
 
Back
Top Bottom