S sirgeorge Member Joined Aug 18, 2010 Posts 89 Reaction score 18 Aug 18, 2010 #1 Mara nyingi nimekuwa nikishiriki katika JF kama guest. Leo nimeingia rasmi. Tushirikiane
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Aug 18, 2010 #2 sirgeorge said: Mara nyingi nimekuwa nikishiriki katika JF kama guest. Leo nimeingia rasmi. Tushirikiane Click to expand... karibu sana na ujisikie ni mmoja wa wanafamilia wa JF
sirgeorge said: Mara nyingi nimekuwa nikishiriki katika JF kama guest. Leo nimeingia rasmi. Tushirikiane Click to expand... karibu sana na ujisikie ni mmoja wa wanafamilia wa JF
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Aug 19, 2010 #3 karibu sana mpendwa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Aug 20, 2010 #4 Karibu jamvini
MWEEN JF-Expert Member Joined Feb 6, 2010 Posts 482 Reaction score 207 Aug 20, 2010 #6 Hodi hodi wenyeji, Mimi mgeni-mwenyeji kwa namna namna. Nimechelewa kujitambulisha mara baada ya kujiunga kwa sababu ya kukosa mtandao wa uhakika. Sasa tutakuwa pamoja. Ahsanteni
Hodi hodi wenyeji, Mimi mgeni-mwenyeji kwa namna namna. Nimechelewa kujitambulisha mara baada ya kujiunga kwa sababu ya kukosa mtandao wa uhakika. Sasa tutakuwa pamoja. Ahsanteni
Beauty JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 540 Reaction score 23 Aug 20, 2010 #7 Karibu mgeni mwenyeji.