Hodi wenyewe, mpo?

Wimana

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
2,449
Reaction score
718
JF ni kisima,
Kisima cha hikma,
Kisima cha maarifa.

Nikaribisheni mwenzenu... hodi, hodi waungwana.
 
JF ni kisima,
Kisima cha hikma,
Kisima cha maarifa.

Nikaribisheni mwenzenu... hodi, hodi waungwana.

Karibu karibu sana jisikie uko nyumba! Nyumbani kuwa huru ktk kutoa mao! maoni
 
Kennedy, Globu, Princess enny, Wakumyetu Ulimakafu, Shine, na Katavi. Nawashukuruni sana sana sana.
 
JF ni kisima,
Kisima cha hikma,
Kisima cha maarifa.

Nikaribisheni mwenzenu... hodi, hodi waungwana.

Karibu sana jf huku utacheka ,utaelimika,utaburudika na utaelimisha na kuburudisha na kadhalika.je wewe ni me or ke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…