Vannele karibu sana JF,naona umeamua kukaribia katika jukwaa la MMU,haya una lipi jipya toka huko utokako?Hodi jamani... Mimi ni mwana J.F mpya naomba mnipokee...
Hodi jamani... Mimi ni mwana J.F mpya naomba mnipokee...
Shida aliumbiwa mwanadamu hivyo yafaa upambane nazo maana hata humu zimo nyingi tu.Hamna jipya Joseph...shida tu mjini