mbapa
Member
- Feb 4, 2014
- 63
- 18
habari!, Wenzangu kwema humu?, hakuna ubaguzi kwa majadliano?, tunatakiwa kuwa marafiki, kujadili bila ubaguzi wala matusi, mambo ya maendleo yazungumzwe zaidi, kujikita kwenye mambo muhimu katka maisha!, then mwisho nawatakia siku njema na maisha marefu duniani kwa wote bila kubagua mnaosoma hii texts