Hodi Wenyewe

Hodi Wenyewe

LimaAlfa

Member
Joined
Dec 22, 2015
Posts
37
Reaction score
19
Salaam wenyeji humu. Nina furaha kujiunga nanyi JF. Ni ukweli kuwa jukwaa hili ni zaidi ya habari, kwani nimefaidika sana na michango na debate zenu nikiwa nje. Mnipokee labda nami nichangie niyajuayo. Ahsanteni
 
Pamoja muungwana, ingawa nilitakiwa nianzie sebule ilee.
 
Hivi ninapotaka hamisha topic kwenda sebule ingine nafanyaje wandugu?
 
Back
Top Bottom